Mtanzania thomas ulimwengu,kwa sasa yuko huru na anatarajia kupokea
barua ya kuondoka club yake ya afc. Kwa muda wa dirisha dogo utakaofunguliwa january mwakani.
“Matarajio yetu ni kuipata hivi karibuni kwani tunataka tuwahi usajili wa dirisha dogo ili kijana aweze kupata timu hukohuko Ulaya na sio kurudi Afrika. Kila kitu kikiwa vizuri, nitawajulisha ni timu gani atajiunga nayo,” alisema Kisongo.