MAGUFULI APITISHWA TENA KUWA MGOMBEA URAISI CCM - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 17, 2017

MAGUFULI APITISHWA TENA KUWA MGOMBEA URAISI CCM



Namnukuu Polepole akisema “Baada ya tafakuri ya kina, Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya
CCM kimeazimia kwa kauli moja kuwateua na kuwapitisha wafuatao, wa kwanza Dr. John Pombe Magufuli kusimama na kugombea nafasi ya Mwenyekiti CCM “
“Wa pili ni Dr. Ally Mohamed Shein kusimama na kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, wa tatu ni Philiph Mangula kusimama na kugombea nafasi ya Makamu wa Mwenyekiti wa CCM bara ”
Tazama mengine zaidi yaliyosemwa na Humphrey Polepole kwenye hii video hapa chini
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();