LIST YA WANAOWANIA MCHEZAJI BORA AFRICA HII HAPA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 19, 2017

LIST YA WANAOWANIA MCHEZAJI BORA AFRICA HII HAPA


Tuzo za mchezaji bora barani africa zitakazotolewa mwakani january nne, tayari shirikisho limetoa orodha ya wanaowania tuzo hiyo.

Tuzo hizo ambazo zitatolewa nchini Ghana, Januari 4 ni kama ifuatavyo:
Mchezaji bora wa kiume wa mwaka
Mohamed Salah (Egypt & Liverpool)
Sadio Mane (Senegal & Liverpool)
Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon & Borussia Dortmund)
Mchezaji bora chipukizi wa mwaka
Krepin Diatta (Senegal & Sarpsborg 08 FF)
Patson Daka (Zambia & FC Liefering)
Salam Giddou (Mali & Guidars FC)
Kocha bora wa mwaka:
Gernot Rohr (Nigeria)
Hector Cuper (Egypt)
L'Hussein Amoutta (Wydad Athletic Club)
Mchezaji bora wa kike wa mwaka
Asisat Oshoala (Nigeria & Dalian Quanjian)
Chrestina Kgatlana (South Africa & UWC Ladies)
Gabrielle Aboudi Onguene (Cameroon & CSKA Moscow)
Timu bora ya kike ya mwaka
Ghana U-20
Nigeria U-20
South Africa
Timu bora ya kiume ya mwaka
Cameroon
Egypt
Nigeria
Klabu bora ya mwaka
Al Ahly
TP Mazembe
Wydad Athletic Club
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();