DOGO JANJA AIBIWA MCHUMBA,UWOYA ACHUKULIWA KIMYAKIMYA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 16, 2017

DOGO JANJA AIBIWA MCHUMBA,UWOYA ACHUKULIWA KIMYAKIMYA





Msanii wa filamu za Kibongo anayekuja kwa kasi kwenye gemu,
Chriss Lubango ‘Kinje’, amemvuta msanii mwenye mvuto wa kipekee Bongo, Irene Uwoya na kumshirikisha kwenye filamu yake iitwayo Kinje huku akilalamika kwamba msanii wa Bongo Fleva anayetajwa kuwa mwandani wa sasa wa uwoya, Dogo Janja amekuwa kikwazo cha wao kukamilisha kazi yao kwa wakati.
Kinje ambaye tayari ameshafanya kazi na mastaa kibao wa Kibongo, wakiwemo Aunt Ezekiel, Hamisa Mobeto na wengine wengi, amesema tayari kazi waliyoifanya na Uwoya imekamilika na kinachosubiriwa ni taratibu za kuizindua, ambapo amesema anaamini italeta mapinduzi makubwa ya sanaa Bongo.
“Ninachoomba ni mashabiki kuniunga mkono kwa sababu nipo kwenye gemu tangu 2011 natafuta njia ya kutimiza malengo yangu,” alisema Kinje.
Sehemu ya filamu hiyo itarushwa leo (Jumamosi) kupitia Global TV Online,
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();