SERIKALI YAZINDUA MFUMO WA KUTUMA NAFASI ZA AJIRA KWA SIMU YA MKONONI - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 22, 2017

SERIKALI YAZINDUA MFUMO WA KUTUMA NAFASI ZA AJIRA KWA SIMU YA MKONONI

 MDAU WETU TUPE SUPPORT KWA KU CLICK KWENYE TANGAZO HAPO CHINI YA HII POST. SHUKA CHINI KIDOGO UTAONA KIBOX KINA TANGAZO AMAZON.COM CLICK HAPO, NI BUREEEE KABISAAA. UKICLICK TUNANUFAIKA NA WEWE TUNAKUPOSTIA INFO. MUCH LOVE GUYZ

Mdau ambaye unasaka kazi, sasa kumaliza sore za viatu si inshu tena.


Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Serikali Mtandao Dkt. Jabiri Bakar.
Dr. Jabiri ametangaza mfumo mpya wa Tehama ambao utamfikishia mwanafunzi aliyemaliza chuo taarifa za ajira punde tu zinapotokea kwa kupitia simu yake mkononi.
Ameelza kuwa mfumo huu utapatikana kwenye simu za aina zote na mwanafunzi yeyote atakayekuwa ameweka taarifa zake zote kwenye mfumo huu atatumiwa ujumbe wa nafasi za kazi zilizotangazwa kwenye ofisi za Umma.
Pindi tu ajira zinapotangazwa, mfumo huu unapitia taarifa zote za wanafunzi na kwa wale ambao taarifa zao zinaendana na ajira zilizotangazwa wanatumiwa ujumbe mfupi katika eneo lolote walilopo nchini,” -Dr. Jabiri
“Baada ya mchakato huu, ikifika siku ya mwisho wa tangazo hilo la kazi mfumo unatoa majina yote ya ambao wameomba nafasi hiyo ya kazi” -Dr. Jabiri
MDAU WETU TUPE SUPPORT KWA KU CLICK KWENYE TANGAZO HAPO CHINI YA HII POST. SHUKA CHINI KIDOGO UTAONA KIBOX KINA TANGAZO AMAZON.COM CLICK HAPO, NI BUREEEE KABISAAA. UKICLICK TUNANUFAIKA NA WEWE TUNAKUPOSTIA INFO. MUCH LOVE GUYZ


'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();