MBARAKA YUSUPH WA AZAM AKWEA PIPA KWENDA SAUZI - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 21, 2017

MBARAKA YUSUPH WA AZAM AKWEA PIPA KWENDA SAUZI



Mchezaji wa Azam, mbaraka yusuph, amekwea pipa kwa ajiri ya kwenda kutibiwa sauzi kwa madiba
.

Msemaji wa Azam FC, Jaffar Iddi amesema uongozi wa klabu hiyo, baada ya kupata majibu ya vipimo vyake, kesho ataondoka nchini kwenda Afrika Kusini.
“Majibu yanaonyesha ameumia meniscus kama ambavyo nilieleza awali. Hivyo atakwenda Afrika Kusini kesho kwa ajili ya matibabu,” alisema.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();