BARCELONA WAITOLEA POVU MADRID:WASEMA HAWATAWAPIGIA MAKOFI YA HESHIMA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 18, 2017

BARCELONA WAITOLEA POVU MADRID:WASEMA HAWATAWAPIGIA MAKOFI YA HESHIMA


waswahili husema "adui muombee njaa".
Madrid ndio mabingwa wa dunia, na tayari fifa imewapa heshima hiyo rasmi, lakini maadui wao wakubwa
fc barca wamesema kuwa hawatawapigia makofi ya heshima kama inavyotakiwa. jumamosi hii elclasico ina timua vumbi

Barcelona imesema haiwezi kufanya hivyo kwa Madrid kubeba ubingwa wa dunia.
Wameeleza, wanatambua kama ingekuwa wamebeba ubingwa wa La Liga au Ligi ya Mabingwa na mechi inayofuatia wakawa wanakutana, wangeweza kufanya hivyo.
Kwa kuwa wamechukua ubingwa wa dunia, huo hauko katika utararibu wa kufanya hivyo na wao watashikilia hilo.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();