CHEKI HII TIMU ILIYOMPIGA MTU MAGOLI 47 KWA-0 - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 18, 2017

CHEKI HII TIMU ILIYOMPIGA MTU MAGOLI 47 KWA-0


Wakati kaka zao wakionekana wameshindwa na watateremka
kutoka La Liga, kikosi cha timu B cha La Palmas kimeshinda kwa mabao 47-0 dhidi ya Las Coloradas.
Timu hizo kutoka katika visiwa vya Canarian nchini Hispania vilikuwa vikishiriki Ligi Kuu ya soka ya Vijana nchini Hispania.
La Palmas ikaibuka na ushindi wa mabao 47 na kuzua gumzo kubwa miongoni mea wapenda soka.
Inaonekana wadau wanaonekana kukerwa na hali hiyo au kutofurahishwa na timu kuwa dhaifu kupita kiasi jambo ambalo wanaona si sahihi.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();