MKURUGENZI NHC ATEMWA KAZI - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 16, 2017

MKURUGENZI NHC ATEMWA KAZI


Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa
Shirika la Nyumba la Taifa NHC Nehemia Mchechu  ili kupisha uchunguzi.
Taarifa hii imetolewa kupitia ukurasa wa twitter wa Msemaji Mkuu wa serikali Dr Hassa Abbas lakini sababu ya kusimamishwa kazi Bwana Mchechu bado haijawekwa wazi na kwa mujibu wa Dr Abbas taarifa zaidi kuhusu suala hili zitatolewa hivi karibuni.


'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();