WANACHAMA YANGA WALIAMSHA DUDE;WASEMA MZEE AKILIMALI ASEPE ZAKE. - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 18, 2017

WANACHAMA YANGA WALIAMSHA DUDE;WASEMA MZEE AKILIMALI ASEPE ZAKE.



Wanachama wa club ya yanga kwa pamoja wameazimia kuwa hawamtaki mzee ibrahim akilimali kwa kuwa anachelewesha maendeleo
ya club hiyo. Awali katibu mkuu wa yanga mkwasa alitangaza nia ya kutaka timu iingie kwenye mfumo wa hisa lakini mzee akilimali alipinga vikali na baadae akawataka radhi wadau wa yanga.
Sasa katika mkutano wa leo wanachama wamekinukisha na kumtaka akilimali afutwe uanachama.

Akilimali amekuwa akishikilia msimamo wake kutaka Yanga ibaki kama zamani na wao wanaona kama anawachelewesha.
Hivyo kutaka Akilimali atupiwe virago na kuiachia Yanga endelee na “maisha” yake.
Akizungumza ndani ya Makao Makuu ya Yanga Makamu Mwenyekiti wa tawi la Uhuru Kaisi Edwin alisema,wamekutana wenyeviti wote wa matawi na kukubaliana kuandika barua kwa uongozi huo ili wamfutie uanachama mzee Akilimali
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();