YANGA NA SIMBA WAMEPANGIWA HIZI TIMU CAF - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 13, 2017

YANGA NA SIMBA WAMEPANGIWA HIZI TIMU CAF


Katika michuano ya caf simba wamejikuta Wakipewa timu ili watereze kwa kanda la ndizi,
ni timu kimeo inayotokea djibout. ambayo ni Gendamarie

Pamoja na kuanza na kibonde, Simba itatakiwa kujipanga kwelikweli kama itafanikiwa kusonga mbele katika hatua hiyo.
Hatua inayofuata inaonyesha itakuwa ngumu kwa kuwa Simba ikisonga mbele itakutana na timu ya Zambia au Misri.
El Masry ya Misri itakutana na Green Buffaloes ya Zambia na mshindi wa hapo atakutana na mshindi kati ya Simba dhidi ya Gendamarie .

Shirikisho la Soka Afrika (Caf), limeipangia Yanga kuanza na St Louis ya Shelisheli, timu ambayo hauwezi kusema ni mlima mrefu kwa kwa Yanga.
Ingawa Yanga watapaswa kuwa makini kwa kuwa ni soka na soka la Shelisheli limekuwa likipanda, lakini haiwezi kuwa kazi itakayowashinda wakiamua “lazima” wasonge mbele.
Iwapo Yanga itasonga mbele katika hatua hiyo baada ya kufanya vizuri katika mechi mbili dhidi ya St Loius, inatarajia kukutana na mshindi kati ya El Merreikh ya Sudan au Township Rollers ya Botswana.

     *Like fb page @mainfo93, kupata habari za sport
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();