JONAS MKUDE ABISHA HODI KWA MO" AWACHANA WACHEZAJI SIMBA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 17, 2017

JONAS MKUDE ABISHA HODI KWA MO" AWACHANA WACHEZAJI SIMBA


Jonas mkude ambaye aliwahi kuwa nahodha wa simba,amefunguka kwa wachezaji wa simba
sasa inatakiwa wajipange kuhakikisha kuwa wanabeba ndoo ilinkutendea haki mabillion ya mo.
Simba inaongoza msimamo wa ligi kuu kwa kuwa na pointi 23, sawa na Azam FC wakipishana idadi ya mabao ya kufunga na kufungwa.
Mkude ambaye anasimamiwa na meneja, Richard Kiwale, alisema kuwa, kutokana na klabu hiyo kuingia katika mabadiliko ya kimfumo kwa timu kukabidhiwa kwa MO kuna kila sababu ya wachezaji kutambua thamani ya jezi zao.
“MO ni mtu sahihi Simba, niipongeze klabu kuweza kumpatia timu, ni mtu mwenye mapenzi ya dhati ya kuifikisha Simba mbali. Hivyo kutokana na uwepo wake ni vyema kwa wachezaji wajitolee na kucheza kwa moyo wote pia kujua umuhimu na thamani ya jezi ya Simba ili kutwaa ubingwa msimu huu,” alisema Mkude ambaye kabla msimu haujaanza alihusishwa kutaka kujiunga na Yanga.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();