MBUNGE ATAJA SIFA ZA KIDUME ANAYEWEZA KUMUOA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 21, 2017

MBUNGE ATAJA SIFA ZA KIDUME ANAYEWEZA KUMUOA



Mbunge wa viti maalum mkoani geita kwa tiketi ya chadema. Upendo furaha ametaja sifa za kidume anayeweza kumuoa.


“Sina chochote kwa maana ya mpenzi, mchumba au mwanaume wa aina yeyote na mara nyingi sana huwa sipendi kuzungumzia maisha yangu binafsi, lakini kikubwa napenda sana mwanaume mwenye kujituma kutafuta mafanikio na kwa kweli namuomba sana Mungu atimize haja ya moyo wangu ili niweze kufurahia maisha, unajua ukiwa na mwanaume mchakarikaji na wewe unahamasika kupambana zaidi na maisha,” alisema Peneza.
Kuhusu kupigania maendeleo kwa vijana, Peneza alisema amekuwa akijitolea kuhakikisha vijana wanapewa haki sawa katika shughuli za uzalishaji na kutolea mfano namna ambavyo ametetea vijana kupewa nafasi za uchimbaji madini hususan katika Mkoa wa Geita. Pia, aliweka wazi namna anavyojipanga kuwasilisha hoja binafsi bungeni mwakani (Januari) ya kuitaka serikali itoe bure vifaa vya wasichana kuvaa wakati wa hedhi (sanitary pads) kwa ngazi za msingi na sekondari, kampeni ambayo anaamini ikifanikiwa itakuwa na manufaa kwa watoto wa kike ambao wakati mwingine hushindwa kumudu gharama
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();