Dirisha dogo la usajiri lililofungwa rasmi usiku wa kuamkia leo,halijawaacha salama
mbeya city. wao wameamua kuachana na wachezaji wao wawili, ngasa pamoja na emmanuel.
pia mbeya city wameamua kufunga dirisha kidizaini kwa kumsaini jonas mpole toka majimaji pamoja na wengine sita.