MO DEWIJ AANZA RASMI KUMWAGA MIHELA SIMBA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 22, 2017

MO DEWIJ AANZA RASMI KUMWAGA MIHELA SIMBA

MDAU WETU TUPE SUPPORT KWA KU CLICK KWENYE TANGAZO HAPO CHINI YA HII POST. SHUKA CHINI KIDOGO UTAONA KIBOX KINA TANGAZO AMAZON.COM CLICK HAPO, NI BUREEEE KABISAAA. UKICLICK TUNANUFAIKA NA WEWE TUNAKUPOSTIA INFO. MUCH LOVE GUYZ

Taarifa kutoka ndani ya timu hiyo, mfanyabiashara huyo ameanza kutoa huduma mbalimbali ikiwemo mshahara, posho na mahitaji mengine.
Mtoa taarifa huyo alisema, kambi ya maandalizi ya mechi ya hatua ya pili ya Kombe la FA dhidi ya Green Warriors aliwezesha yeye kwa kuiweka timu ya Escape Two Hotel, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.

“Ameanza kutoa huduma hiyo kwa kuanzia mechi dhidi ya FA kwa kufanikisha baadhi ya mahitaji muhimu ikiwemo kambi ya timu iliyoweka Escape Two Hotel.
“Pia anafanikisha baadhi ya mahitaji mengine ikiwemo mshahara na posho za wachezaji tuki­wa katika matayarisho ya mechi hii ya FA tu­takayocheza kesho (leo) dhidi ya Green War­riors,” alisema mtoa taarifa huyo.

MDAU WETU TUPE SUPPORT KWA KU CLICK KWENYE TANGAZO HAPO CHINI YA HII POST. SHUKA CHINI KIDOGO UTAONA KIBOX KINA TANGAZO AMAZON.COM CLICK HAPO, NI BUREEEE KABISAAA. UKICLICK TUNANUFAIKA NA WEWE TUNAKUPOSTIA INFO. MUCH LOVE GUYZ
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();