BREAKING INFO: HAJI MANARA AZUSHIWA KIFO, APOKELEWA KWA SHANGWE MSIBANI - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 19, 2017

BREAKING INFO: HAJI MANARA AZUSHIWA KIFO, APOKELEWA KWA SHANGWE MSIBANI


Msemaji wa club ya simba, Haji Manara amejikuta akipata msongo wa mawazo mara baada ya watu kumzushia kifo, mtu huyo alitupia post online akidai haji manara kafariki.

Watu wakaanza maandalizi ya msiba, lakini mara paaap!! Manara mwenyewe akajitokeza akiwa anadunda kama bombadia, watu msibani ikawa ni shangwe utazani harusini.

"Jaman ndugu zangu toka Jana kuna habari znazagaa kuwa nimekufa. Kaka yangu anaitwa Ramadhan kitenge alinipigia Jana kuwa kaona fb," anaelelezea Manara.
"Ndugu zangu na mama yangu mzazi nao walipigiwa simu, nikapuuza. Lakini leo wakati nikijiandaa kwenda msibani kwa mwanachama wetu maarufu dada Fii kambi.
"Nikapigiwa cm nyingi za kutaka kujua hali na uhai wangu na kweli nilipofika msibani nimekuta vilio vya kina mama kuwa nimefariki.
"Kiukweli mm ni mzima wa afya, siumwi chochote na Alhamdulillah naendelea na shughuli zangu kama kawaida. Kufa tutakufa tu kwa ahadi yake Mungu, puuzeni uvumi wa mitandaoni," anasisitiza Manara
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();