HII HAPA HATIMA YA MAVUGO NDANI YA SIMBA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 21, 2017

HII HAPA HATIMA YA MAVUGO NDANI YA SIMBA


Kamati ya usajiri ya simba imefunguka kuwa haitamuacha mburundi mavugo na itambakiza kikosini.


Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe amesema baada ya kumtema beki Method Mwanjale, hawana mpango wa kumuacha mchezaji mwingine.
Hans Poppe amesema Simba haina mpango wa kumuacha mchezaji licha ya kuelezwa kwamba Mavugo analazimika kumpisha Dayo Domingues kutoka Msumbiji.
“Hatuna mpango wa kumuacha mtu yoyote baada ya Mwanjali, hivyo baada ya usajili wa Kwasi kukamilika, hatutakuwa na usajili mwingine,” alisema.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();