SIMBA WAMEANZA MAZOEZI LEO: MCHEZAJI MPYA HAJATOKEA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 19, 2017

SIMBA WAMEANZA MAZOEZI LEO: MCHEZAJI MPYA HAJATOKEA



Kikosi cha Simba kimeendelea kujifua kwenye Uwanja wa Polisi Kilwa jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Ligi Kuu Bara.
Wakati Simba inajifua,
mshambuliaji wake mpya, Dayo Domingues hajaonekana mazoezi licha ya kwamba kulikuwa na taarifa kwamba angeanza.
Taarifa zinaeleza Dayo aliyetokea Ferreviario ya Msumbiji ameshindwa kuanza mazoezi kwa kuwa kuna mambo ya kiingozi yanashughulikiwa.
  Taarifa zinadai kwamba  mchezaji huyo wa msumbiji bado mambo yanashughurikiwa na uongozi kutokana na mtandao wa TMS kuwa bado haujakaa sawa.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();