MUIGIZAJI ANAYELIPWA MTONYO MKUBWA ZAIDI DUNIANI HUYU HAPA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 16, 2017

MUIGIZAJI ANAYELIPWA MTONYO MKUBWA ZAIDI DUNIANI HUYU HAPA

INGIA FB TAFUTA GROUP LIITWALO MAGAZETI YA LEO. KISHA JOIN. 

muigizaji Wahlberg kutokea “Hollywood” nchini Marekani ametajwa na jarida la Forbes kama muigizaji anayelipwa pesa nyingi
nchini Marekani kwa mwaka 2017, hii ni kutokana na kufanya movies nyingi, hivyo amefanikiwa kuingiza dola millioni 10 za kimarekani ambazo ni zaidi ya bilioni 22.5 za Kitanzania.
Mark Wahlberg amewahi pia kushiriki kwenye movies mbalimbali kama Pain and GainThe departedBoogie Nights na nyingine nyingi ambazo zinaendelea kufanya vizuri kimauzo sokoni hadi leo hii.
Kama humfahamu vizuri Mark Wahlberg amejikita katika sekta mbalimbali ambazo zinamuingizia kipato ukiachilia kufanya kazi za uigizaji, Mark Wahlberg pia ni mfanyabiashara, producer, rapper na alishawahi kufanya kazi za uanamitindo nchini Marekani.

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();