WANYAMA WAANZA KUPIGA TIZI KUWAUMIZA VIBONDE WA DJIBOUT - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 14, 2017

WANYAMA WAANZA KUPIGA TIZI KUWAUMIZA VIBONDE WA DJIBOUT




Kikosi cha simba kimeanza mazoezi ya kujifua ili kuwakabili wale vibonde wakutoka djibout ambao simba imepangiwa kukipiga nao kwenye michuano hiyo.

Simba imepangwa kuanza na Gendamarie ya Djibouti ambayo si timu ngumu sana ingawa haitakiwi kudhauliwa.

Simba imeendelea kujifua kujiandaa na Ligi Kuu Bara katika mazoezi yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Jeshi la Polisi, Kilwa Road jijini Dar es Salaam.

    Karibu mainfo nainte three kwa habari za kisport
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();