MBUNGE WA CHADEMA AJITOA RASMI NA KUINGIA CCM - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 14, 2017

MBUNGE WA CHADEMA AJITOA RASMI NA KUINGIA CCM



Headlines za wabunge kuhama
vyama zinaendelea. Leo December 14, 2017 Mbunge wa Siha Kilimanjaro kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA , Dkt. Godwin Mollel ametangaza kujivua uanachama wa chama hicho na kujiuzulu nafasi yake ya Ubunge wa Jimbo hilo.
“Nimeona nia ya dhati ya Serikali CCM kutetea rasirimali za Taifa, nikaona niweze kujiuzulu nafasi yangu ya ubunge ili niweze kwenda kujiunga kwa vitendo katika kulinda rasirimali za Taifa letu, aminini watu wangu wa Siha nimeona mbali katika maamuzi haya, wana CCM napendekeza na nyie mnipokee,” – Dkt Godwin Mollel
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();