AUAWA KISHA MWILI KUTUPWA NA WATU WASIOJULIKANA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 17, 2017

AUAWA KISHA MWILI KUTUPWA NA WATU WASIOJULIKANA



Katika hali isiyo ya kawaida mwanaume mmoja mwenye umri wa
miaka 35, amekutwa akiwa ameuawa kisha mwili wake kutupwa na watu wasiojulikana. Mkazi huyo wa tarime kwa jina la samweli chacha ameuawa na watu hao, kiongozi wa serikali ya mtaa kwa jina la  mwangaza abdala maingu amekiri kutokea kwa tukio hilo. Baba mzazi wa marehemu kwa jina la chacha nyarusai amesikitishwa na tukio hilo na kuwaomba jeshi la polisi tarime lifanye uchunguzi wa kina. Rafiki wa karibu wa marehemu amesema jana saa moja na nusu jioni walikuwa naye na asubuhi ya leo anastuka kusikia taarifa hiyo. Mwili wa marehemu umehifadhiwa hospitali ya wilaya tarime.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();