LIPULI WATOA POVU "ASANTE KWASI NI SAWA NA MKE WA MTU UKIMUIBA LAZIMA UMRUDISHE" - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 20, 2017

LIPULI WATOA POVU "ASANTE KWASI NI SAWA NA MKE WA MTU UKIMUIBA LAZIMA UMRUDISHE"



Sakata la beki tegemezi wa lipuli fc Asante kwasi,linazidi kuwaka moto mara baada ya katibu wa lipuli fc kudai kuwa Asante kwasi ni Mali ya lipuli na lazima arudi lipuli kwa kuwa club hiyo bado ina
mkataba naye wa miezi minane.
Akiendelea kutoa povu alidai kuwa asante ni sawa na mke wa mtu hawezi kuibiwa.

Kwa upande wa simba wanadai Asante kwasi ni moja ya wachezaji wao na kamati ya usajiri hivi punde itatoa ufafanuzi.
Kwa upande wa Tff wanadai kuwa katika mtandao wa Fifa Tms tayari umekaa powa na jina la Asante Kwasi linasomeka kuwa ni mchezaji wa Lipuli. Mainfo93 inafatilia juu ya sakata hili, info ikipatikana lazima tukupostie mdau.

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();