ZITO NA KIKWETE WATOA YA MOYONI ZANZIBERI KUTINGA FAINALI - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 16, 2017

ZITO NA KIKWETE WATOA YA MOYONI ZANZIBERI KUTINGA FAINALI



Baada ya Zanzibar kufuzu Rais mstaa wa awamu ya nne Dr Jakaya Mrisho Kikwete ameipongeza
kwa kuandika maneno haya
“Nawapongeza Zanzibar Heroes kwa kututoa kimasomaso na kutinga fainali. Nawatakia kila la kheri katika mechi ya fainali waibuke na kombe na watupe raha ambayo Watanzania tumeikosa kwa muda mrefu”
Kwa upande wa mbunge wa Kigoma Mjini
Zitto Kabwe aliipongeza Zanzibar na kuomba ZFA awe mwanachama wa FIFA na
TFF ipumzike kidogo ili wajipange upya
“Kama hatutaki Zanzibar kuwa Mwanachama wa FIFA kama ilivyo Scotland. Tuseme kwa miaka 5 ijayo kuanzia mwaka huu ZFA ndio mwanachama FIFA na CAF ili TFF ipate muda wa kujipanga. Ndani ya hiyo miaka 5 nawaambia Zanzibar itakwenda AFCON na hata Kombe la Dunia. #MsemaKweliMpenziWaMungu “
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();