DOGO JANJA KAMUANDIKIA HAYA UWOYA. - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 19, 2017

DOGO JANJA KAMUANDIKIA HAYA UWOYA.



Baada ya picha kusambaa mtandaoni zikimuonyesha wolper akiwa na mtangazaji Tbway. Dogo janja kafunguka haya.

“Umebadilisha maisha yangu kutoka nanii kua nanii!! Unanifanya nacheka mda wote hata nikiwa usingizini!! Ww ni mke wangu wakwanza na nimke wangu wamwisho!!tuipeleke dunia kwenye mwangaza waajabu tuwamulike wasioamini wakaamini kua sisi ni wazazi mwakani, wengi wameoana ila sisi tumefunga ndoa!! Happy birthday mke wangu
#MrsAbdul
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();