NGASSA ATINGA MBEYA CITY KUDAI MTONYO WAKE: AMWAGA WINO TIMU MPYA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 18, 2017

NGASSA ATINGA MBEYA CITY KUDAI MTONYO WAKE: AMWAGA WINO TIMU MPYA


Kutokana na mkataba wake kumalizika ndani ya club ya mbeya city, mrisho
ngassa alijiunga na timu ya ndanda fc mwishoni mwa dirisha dogo, na sasa amesema hana kinyongo na mbeya city, atarudi kiroho safi kuchukua mpunga wake.

“Lakini nikiwa naenda zangu Ndanda kwa ajili ya kujiunga na timu hiyo, nimepanga kurejea tena Mbeya kwa ajili ya kudai malimbikizo ya fedha zangu ikiwemo mshahara.
“Na ninashukuru viongozi wa Mbeya wamenihakikishia kunipatia fedha zangu hizo hivi karibuni mara baada ya kuwapatia taarifa za fedha zangu,” alisema Ngassa.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();