STORY:PENZI LA KAHABA (SEASON 2). ONYO UNDER 17 USISOME - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

May 22, 2017

STORY:PENZI LA KAHABA (SEASON 2). ONYO UNDER 17 USISOME




STORY:PENZI LA KAHABA
SEASON(2)
MWANDISHI #ZABRANCO


CLICK www.maino93.blogspot.com
Sehemu iliyopita iliishia pale Yule jamaaa alipokua anapagawiswha na Yule binti. Sasa endelea kutiririka nayo.

Yule msichana akageuka kwa nyuma kisha akajisogeza hadi kwa Yule jamaaa ,binti akajipachika maeneo ya shasharani huku akimuacha jamaa akiwa amepagawa kama bata anayetaka kuharisha, binti alikua kavaa kimini chekundu huku kikiwa kimebana sehemu zote na kuachia `nundu` kama wimbo wa harmorapa , binti alikua kanona kiasi kwamba Yule jamaa akawa anatamani amkamatie Yule binti. Baada ya binti kuona jamaa kapagawa kisawa sawa binti akaongea kwa sauti ya kumtoa raisi ikulu akasema.
                                                 `jamani kaka unanimaliza kabisa natamani uniburuze hadi kuku waseme haaaaaaa!!!!!!`.

Jamaaa kusikia yale maneno matamu akajikuta sehemu ulipo mlango wa suruali panakua kama mlima unaokua kwa kasi, binti kuona vile akapitisha mkono wa kichokozi akapapasa huo mlima. Jamaa hakuweza kuvumilia akamuomba binti waondoke wote usiku huo, binti kusikia vile akajua tayari amepata hela ya kulipia kodi ya nyumba, akasema.
                     `jamaniii kakaaaaa we nipe tu elfu saba leo natoa ofa ukanitafune hadi manyoya``

Kijana kwa jinsi alivyotekwa akajikuta akiwa hana pingamizi akakubali kuondoka na Yule binti, wakati wameelewana ili watoke pale, wale wanawake na wasichana wengine waliokua nao wakisubiri wanaume, wakawa wana muangalia mwenzao jinsi alivyobahatisha kunasa samaki. Wale warembo wawili nao wakaonekana wakisogelea gari moja nzuri aina ya HARRIER, wakaisogelea na kuchungulia dirishani, dirisha la gari likafunguliwa akaonekana mwanaume mmoja akaiwa ndani ya gari, mrembo mmoja akasema.

                 `mamboooo dadyyyyyy, angalia hizi sampo  classic`
Yule mwanaume akatabasamu japokua sura yake ilikua ikionekana umri umeenda na uzee unamuita, akamsogelea  binti aliyekua anachungulia kwenye dirisha la gari, akamshika kwenye chuchu kisha Yule mwanaume akatikisa kichwa kuonyesha kua ameridhika na Yule mrembo. Yule mwanaume akasema.
                `warembo,mnaonekana watamu sana sasa mimi nataka nikawaonje wote wawili`

Binti akajibu……………………(JE ALIJIBU NINI???????, USIKOSE KUFATILIA HII HOT STORY HAPA MAINFO93 PEKEEE)
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();