WOLPER ATOA POVU, ADAI ANAHISI KAMA VILE HATA HAJAWAHI KUSHIKANA MKONO NA HARMONIZE - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

May 15, 2017

WOLPER ATOA POVU, ADAI ANAHISI KAMA VILE HATA HAJAWAHI KUSHIKANA MKONO NA HARMONIZE

Muigizaji mwenye mvuto na umbile matata bongo 255, WOLPER leo amefunguka kua hayupo katika mapenzi na star wa hit song ya NIAMBIE harmonize a.k.a RAJI, Wolper akihojiwa clouds na soud brown amefunguka kua katika mbishe zake za mapenzi hajawahi kupigwa za mbavu (kuachwa), na anahisihi kama vile hajawahi kugusana hata mkono na Harmonize. WOLPER alipoulizwa kuhusu kufanya kazi na WCB  alifunguka kua ataendelea kufanya nao kazi kwa kua aliwajua kabla hata ya kumjua raji.

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();