KUNDI LA YAMOTO BENDI LAPEANA TALAKA, LASAMBARATIKA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

May 23, 2017

KUNDI LA YAMOTO BENDI LAPEANA TALAKA, LASAMBARATIKA




Wadau wote wa muziki mzuri ndani ya TZ bongo 255 tunasikitika kuona yamoto bendi wakipeana talaka na kila msanii kutoa singo zake kivyake. Jambo hili linajidhihirisha kwa kumuona mkali wa kundi hilo ASLAY Akiwa ameshatoa hits tatu hadi hivi sasa akiwa kivyake (Angekuona, mhudumu, usiitie doa). Pia kwa upande wa enock flavour ana hit song yake ambayo ina kik sana town kwa sasa, yamoto band hawapo pamoja, maromboso aslay,enock flavour sasa si yamoto tena
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();