INFO: KUTAKUA NA MOMENT OF SILENCE KUKUMBUKA WAHANGA WA SHAMBULIO LA MANCHESTER, GEM MAN U VS AJAX FINAL, KAA KARIBU TUTAKUA NA LIVE UPDATES TONIGHTS DUBY - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

May 24, 2017

INFO: KUTAKUA NA MOMENT OF SILENCE KUKUMBUKA WAHANGA WA SHAMBULIO LA MANCHESTER, GEM MAN U VS AJAX FINAL, KAA KARIBU TUTAKUA NA LIVE UPDATES TONIGHTS DUBY

                                       WWW.MAINFO93.BLOGSPOT.COM


Leo kutakua na dakika moja ya ukimya ili kuwakumbuka watu waliouawa katika shambulio la ukumbini manchester, Gem ya leo europa league itapigwa mishale ya saa tatu dakka 45 kwa saa za 255 bongo tz. hii ni fainali ambayo mourinho ameipania na amesema leo atamuua nyani bila kumuangalia usoni. AJAX nao wamefunguka kuwa wanaenda kuandika historia pale katika dimba la STOCKHOLM. Gem nyingine ya kirafiki itapigwa leo kati ya LIVERPOOL NA SYDNEY itapigwa mida ya ugali, saaa saba kamili mchana leo. Kaa nasi karibu upate update zote za man u vs ajax

                                             



'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();