HII HAPA HATIMA YA MZEE NKURUNZINZA ARSENAL WENGER(1996-2017 - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

May 30, 2017

HII HAPA HATIMA YA MZEE NKURUNZINZA ARSENAL WENGER(1996-2017



Mashabiki wa arsenal toka kila kona ya dunia wamekuwa wakilalama kwa muda mrefu kuwa hawamtaki mzee kigogo nkurunzinza himself
arsenal wenger. Sasa bodi ya arsenal ipo kwenye kikao leo hii juma nne na muda wowote kuanzia hivi sasa maamuzi yatatolewa na wakuu wa bodi juu ya kocha huyo mwenye umri wa miaka 67.
ARSENAL WENGER toka aichukue timu hiyo mnamo 1996, amefanikiwa kushinda mataji matatu ya premier league, huku akinyanyua mataji 7 ya FA cup. Hatima kamili ya wenga itatangazwa hapo kesho juma tano, kwa kuwa leo wakuu wa bodi wapo katika kikao cha siri.

                           



'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();