KIPINDI CHA KWANZA YANGA 1 MBEYA CITY 0 - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

May 13, 2017

KIPINDI CHA KWANZA YANGA 1 MBEYA CITY 0

Dakika ya 4 yanga wanapata goli kupitia hamisi tambwe kaiandikia yanga goli  , dakika ya 26 mbeya city wanapata kona anapiga rajabu sika, mashuya anatoa nje unakua ni wakulusha kuelekea lango la yanga, mbeya city wanaenda wanapata kona ya pili anakwenda kupiga rajabu siaka, kona ya tatu kwa mbeya city wanakosa anaenda nao mwasapili, chilwaa anakwenda, kesi kesi anapiga cross inakua goal kik
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();