ARSENAL WASAJIRI HIKI CHUMA KIPYAAAAAAA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

May 16, 2017

ARSENAL WASAJIRI HIKI CHUMA KIPYAAAAAAA

Mchezaji aliyezaliwa ujerumani, ana umri wa miaka (23), huku damu ikiwa bado changa kabisa kuhimili mikikimikiki ya ligi ya england. Timu kama Everton, matajiri wa shekh mansour Man city, pamoja na wakongwe wa millan wote kwa pamoja walikua wanammendea mkali huyo kutoka Shalke 04 lakini yeye kachagua kujiunga na chama lenye mashabiki wavumilivu kuliko timu yoyote duniani nao si wengine ni wajukuu wa wenger. Defender huyo toka shalke 04 naye si mwingine ni SEAD  LOLASINAC ambaye atajiunga rasmi na arsenal july 1 mkataba wake na shalke utakapo malizika
                                         
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();