MAREKANI WAIGOPA KOREA KASKAZINI, WAUNDA KIFAA CHA KUGUNDUA MAKOMBORA YA MASAFA MAREFU - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

May 27, 2017

MAREKANI WAIGOPA KOREA KASKAZINI, WAUNDA KIFAA CHA KUGUNDUA MAKOMBORA YA MASAFA MAREFU


Kutokana na tishio kubwa linaloonyeshwa na korea kaskazini, imepelekea pentagon kuanza kuunda kifaa cha kuzuia makombora ya masafa marefu. Idara ya jeshi nchini marekani inaamini kuwa Pyongyang ina mpango wa kutengeneza makombora zaidi ambayo huenda yakaifikia marekani kwa kuwa yana uwezo wa kusafiri bara moja hadi jingine.


Ni mara ya kwanza Marekani kujaribu kuzuia kudungua kombora la masafa marefu ICBM.Marekani imekuwa ikitumia kifaa cha GMD kinachowekwa ardhini kukabiliana na mashambulio ya mataifa kama vile Korea Kaskazini.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();