Mmiliki wa hisa asilimia 30.4, billionea Alisher usmanov ametenga kitita cha uero billion moja kwa ajiri ya kuinunua arsenal ili iwe yake. Billionea huyo mmiliki wa kampuni la kutengeneza magari la RED AND WHITE investment, ameelezea hisia zake kua sasa ni muda muafaka kwa arsenal wenger kupumzika na kuwaachia wengine usukani.