BAADA YA KUFIWA POGBA SASA KUINGIA KIKOSINI DHIDI YA CRISTAL PALACE - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

May 20, 2017

BAADA YA KUFIWA POGBA SASA KUINGIA KIKOSINI DHIDI YA CRISTAL PALACE


                     

Kocha wa manchester united jose mourinho amesema kua midfielder paul pagba atarudi kikosini na ataanza first eleven, mourinho akihojiwa alisikika akisema kuwa Pogba amekosa mechi mbili za man u zilizopita kutokana na kufiwa na baba yake. Mourinho anataka kumuuandaa pogpa awe fiti kwenye gem ya jumapili hii dhidi ya palace, ili inapofika jumatano ya wiki ijayo, pogpa awe kwenye form katika fainali ya europa league itakayopigwa jumatano wiki ijayo
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();