UKUMBI WA MUZIKI WALIPULIWA NA KUUA WATU 19, MANCHESTER - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

May 23, 2017

UKUMBI WA MUZIKI WALIPULIWA NA KUUA WATU 19, MANCHESTER

                                             WWW.MAINFO93.BLOGSPOT.COM
                               
Muda mchache baada ya msanii na nyota wa filamu mwenye umri wa miaka 23, Ariana Grande alipomaliza kufanya show kwa mashabiki wake wa jiji la manchester, ilianza kusikikika milipuko ndani ya ukumbi huo mkubwa ndani ya jiji hilo. Watu takribani 19 wameuawa huku 50 wengine wakijeruhiwa. Theresa may amelaaani shambulio hilo na kuliita ni la kigaidi na iwapo police itathibitisha basi itakua ni tukio baya kuwahi kushuhudiwa tangu mwaka 2005. Mashuhuda wamedai kuona vipande vya misumari na harufu ya viripuzi eneo la ukumbi huo


'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();