CONTE ANYAKUA TUZO YA LMA KOCHA BORA WA PREMIER LEAGUGE WA MWAKA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

May 23, 2017

CONTE ANYAKUA TUZO YA LMA KOCHA BORA WA PREMIER LEAGUGE WA MWAKA


                                     


                                           www.mainfo93.blogspot.com
Antonio conte ameweka rekodi yakuwa kocha wa tatu asiyekuwa muingereza kubeba tuzo hiyo. Watangulizi wake kina Claudio raniel wa leicester pamoja na mzee nkurunzinza Arsenal wenger alichukua tuzo hiyo mwaka 2002 na 2004. Conte amebeba tuzo hiyo baada ya kuiwezesha the blues kubeba ubingwa. Toka conte  atie maguu stamford bridge amecheza gem 38 na kushinda gem 30 kati ya hizo,hadi kubeba ubingwa kwa muitaliano huyo. Sasa macho yote ya muitaliano huyo yapo katika gem ya FA cup ambapo watakipiga na Arsenal weekend hii ikiwa ni fainal.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();