DAKIKA YA 84 MBAO-0 SIMBA-0 - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

May 27, 2017

DAKIKA YA 84 MBAO-0 SIMBA-0





mpira unaonekana bado haujatulia mavugo anajaribu
kutuma mashambulizi lakina bado hayazai matunda
mbao wanajaribu kuzuia mambo ya simba. SIMBA WANAPTA KONA LAKINI HAULE ANAINYAKA.  dakika ya 33 mavugo anaachia shutiiiiii, aaaa kona pale. DAKIKA YA 40 MUZAMIRU ANAPIGA CHUMA GOAL KICK PALE, dakika ya 44 swita anapewa kadi ya manjano kwa kumuangusha zimbwe jr. DAKIKA YA 65 KIPA haule amepata maumivu kwa kugongana na mlinzi wake wa kati aliyekuwa anazuia mpira wa adhabu. DK YA 70 MKUDE ANAKULA NJANO, dak ya 74 mavugo anakosa goal. dakika ya 82 mabeki wa simba wanaonekana kuhaha
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();