VIDEO: ANGALIA GEM YA CHELSEA WALIVYOBEBA UBINGWA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

May 13, 2017

VIDEO: ANGALIA GEM YA CHELSEA WALIVYOBEBA UBINGWA

                                                ANGALIA GEM,CLICK HAPA



CESC FABREGAS ASEMA KUA,,,,tulikua na chance nyingi katika kipindi cha kwanza, tulicheza vizuri na walikua na chance chache katika kipindi cha pili. labda tulipatwa hofu kidogo lakini huu ndio uzuri wa soka mchezaji anayecheza kidogo lakini anashinda ubingwa@FABREGAS




GARY NEVILLES amesema,,,hawakuuanza msimu vizuri lakini, walitengeneza mbinu  na kua bora hadi kuchukua ushindi, wamejituma sana na wanastahilili hili TAJI @GARY NEVILLES


MANENO ya conte baada ya taji,,,, haya ni mafanikio makubwa kwa wachezaji, napaswa kutoa shukurani kwa kujituma kwao walinionyesha shauku kubwa ya kujaribu kufanya kitu kikubwa ndani ya msimu, sasa baada ya huu ushindi itAkua ni furaha kwa msimu mzima. Mwishoni Conte akamalizia yani HAPA NI BATA TU @KONTE



     




'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();