Mwenyezimungu ameamrisha waja wake kufunga mwezi mtukufu wa ramadhani, Allah amesema
fungeni kama tulivyoowamrisha waliokuwa kabla yenu. Swaum ni wajibu kwa kila muislamu asiyekuwa na udhuru wa kisheria, mainfo93 tunawatakia ramadhani njema pia C.E.O wa mainfo93 nami nitakuwa natekeleza swaum hii, Allah atufanyie wepesi inshalaaaaaa. Yale mambo ya haruaaaaa yatahusika