MCHEKI HARMORAPA ALIVYO VAA HILI GAUNI, KAANDIKA HAYA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

May 26, 2017

MCHEKI HARMORAPA ALIVYO VAA HILI GAUNI, KAANDIKA HAYA




Msanii mtata anayekik kwa skandali za kipekee, harmorapa amabaye hivi sasa ni habari ya mujini akiwa ana hot video yake ya #NUNDU. lakini
kuna video inayosambaa katika manetwork ikimuonyesha rapa huyo akiwa kavaa gauni linalodaiwa kuwa ni la boss wake. Harmorapa mwenyewe kayasema haya

   “Unajua mimi namkubali sana Alikiba hivyo nilivyoona amefanya kitu kile na mimi nikasema ngoja nifanye kama ‘Cover’ ila sikuvaa gauni la bosi wangu wala sikuvaa gauni mimi naona niliva mavazi ya kawaida tu, labda nyinyi ndiyo mnaona gauni lakini kwangu mimi ile ni nguo tu ya kawaida” -Harmorapa.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();