STORY PENZI LA KAHABA: (SEASON-1) - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

May 19, 2017

STORY PENZI LA KAHABA: (SEASON-1)



STORY:PENZI LA KAHABA
SEASON (1)
MWANDISHI: Amany Zabranco.
               

Kati kati ya jiji la MOMBASA wanaonekana warembo wawili wakiwa wamevaa nguo fupi aina ya vimini huku mapaja yao yakiwa yana meremeta utazani yamepakwa mafuta ya mawese, warembo hawa wanaonekana wakiwa wanatembea kuelekea sehemu inayoonekana kwa mbali ikiwa ni barabara ndefu iliyozungukwa na mataa. Warembo hawa wanazidi kujisogeza maeneo hayo huku wakionekana wanazungumza na kucheka kwa bashasha murua, wanazidi kutembea hadi wanakalibia kufika eneo husika, kwa mbali zinaanza kusikika sauti za wasichana na wanawake wakizozana huku wakisema `huyu ni wakwangu, muache, jiangalie kwanza we hata kwa jero huliwi!!!!`. Wale warembo wawili wanazidi kujisogeza kwenye hilo eneo, wanakaribia kwa pembeni kinaonekana kikundi cha wanawake wenye big bundle (wanene) wakiwa wanawaangalia wale warembo jinsi wanavyo kuja, mwanamke mmoja anasema `Naona leo mmekuja na nguo matata kama vile zimewekewa WIFI`, wale wanawake wengine wanadakia `hahahhahahhaaa leo hapa hapatoshi lazima tupate wateja hatujalipa kodi tulikopanga`.
          Wale warembo wawili wanafika pale kasha wanawapa hai wale wasichana na wanawake `mamboooo zenyuuuu saplayaziiiii!!!!`, nao wanaitikia `swalamaaaaaaaa wapakuaji`. Kisha wale warembo wawili nao wanajipanga kwenye mstari kama wengine walivyojipanga pembeni ya barabara, msururu unaonekana mrefu utazani wanafunzi wamejipanga kugaiwa uji, kila mmoja wa wale wanawake anaonekana akiwa bize kwenye simu yake, simu za aina tofauti tofauti zinaonekana wengine wanaonekana wana tecno H6,wengine Iphone,wengine windows phone na kwa mbari anaonekana mmama wa makamo nae akiwa kwenye foleni huku ameshika nokia ya tochi.
Kila gari inayopita au mwanaume anayepita karibia nao wanaanza kumgombania, kwa mbari anaonekana mtu akiwa anakuja karibia na wao walipojipanga, wanasikika wakizozana `kaka hiii hapa classic, kaka huku bei poa, kaka  hapa usiku mzima natoa dozi, kaka mimi nakufikisha mapema, kaka pande hii natoa ofa shika kwanza hili paja uonje radha`. Maneno yanazidi kusikika tokea kwa wale wanawake, Yule jamaa anamshika paja Yule aliyemuambia amshike, mdada kushikwa paja hapohapo akazidi kumpagawisha jamaa, mdada akageuka nyuma kisha aka………………(JE ALIFANYA NINI???? INGIA WWW.MAINFO93.BLOGSPOT.COM UPATE UTAMU WOTE)


'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();