EDEN HAZARD ASEMA ANAIMEZEA MATE BALLON D OR - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

May 12, 2017

EDEN HAZARD ASEMA ANAIMEZEA MATE BALLON D OR



Midfielder wa chelsea Hazard amesema kua moja kati ya ndoto zake kubwa ni kuikamatia tuzo ya mchezaji bora wa dunia, hazard amesema kuwa sio lazima kwenda ligi ya LA LIGA uhispania ili kuweza kuinyakua tuzo hiyo, japokua haipingiki kua tuzo hiyo imekua ikinyakuliwa na messi pamoja na ronaldo na kama itatokea tena basi itakua imekaa uhispania kwa miaka10 hadi hivi sasa.
      HAZARD alipokua akihojiwa na kituo cha skysport alisema kua baada ya chelsea kubeba ubingwa wa premier league ambapo mchezo wa leo dhidi ya westbro
m chelsea itachukua ubingwa na jicho la hazard litahamia ballon d or. Alipoulizwa kama kuna wachezaji wengine wanaoweza kuipata tuzo hiyo, hazard alicheka kidogo na kuwataja NEYMAR,PAULO DYBALA na ANTOINE GRIEZMANN
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();