INFO!,INFO!,INFO KWA WALE WOTE MNAOJIANDAA KUAPLY CERTIFICATE NA DIPLOMA HAPO KESHO......... - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

May 14, 2017

INFO!,INFO!,INFO KWA WALE WOTE MNAOJIANDAA KUAPLY CERTIFICATE NA DIPLOMA HAPO KESHO.........


Napenda kuwa kumbusha kua kwa mujibu wa tangazo kutoka nacte lililotolewa tarehe 10 may, kesho tarehe 15 ndio vyuo vyote vitaanza upokeaji wa maombi rasmi, nawakumbusha kua maombi yatakayo ruhusiwa kutumwa kupitia NACTE ni yale ya waombaji wa vyuo vya serikali tu vya afya na ualimu tu, maombi mengine yote yatatumwa kwa vyuo husika kupitia mtandao. Hivyo basi kutambua umuhimu wa hili suala I.T MAN mtaalam wako wa mainfo93 KESHO ATAFUNGUA RASMI HUDUMA YA KUWASAIDIA WAOMBAJI KUTUMA MAOMBI  KWA BEI NAFUU INAYOENDANA NA USAWA WA MAGUFURI. kesho tutakua online kufaya applications. kama utahitaji huduma hii tuma sms kwa 0757035284 au airtel 0688139483, utafanya malipo kwa m-pesa au airtel money kama gharama ya kukufanyia maombi kwa nambari tajwa hapo juu. Ili kuepusha usumbufu kesho tutapost namna ya kulipia nacte utalipa mwenyewe kisha sisi utatutumia nambari ya uthibitisho. kwa wale ambao maombi yao hayatopitia nacte wao watawasiliana na sisi moja kwa utume sms amoja kupitia nambari tajwa hapo juu. ONYO KAMA UNATAMBUA HUTUMI VYUO VYA SERIKALI VYA AFYA NA UALIMU. TAFADHARI USILIPIE NACTE ILI KUEPUSHA USUMBUFU AHSANTE KARIBU MAINFO93 KILA SIKU, WAJULISHA NA MARAFIKA WATUTEMBELE mainfo93
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();