FA CUP YAMFANYA WENGER AHAME NYUMBANI - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

May 26, 2017

FA CUP YAMFANYA WENGER AHAME NYUMBANI















Swali la hoja linabaki kuwa je ushindi wa fainali ya Fa cup utamtosha arsenal wenger
baada ya kushindwa kumaliza top four na kusalia nafasi ya tano, iwapo arsenal watashindaa fa cup watakua wamebeba kombe hili kwa mara yao ya tatu kwa kipindi cha miaka minne na kuweka historia.

Iwapo wenger atalinyanyua kombe hilo basi itakua ni mara yake ya saba kulikamatia tangia atie maguu arsenal na ataweka historia ya kuwa kochi mwenye mafanikio zaidi ndani ya club ya arsenal. Gem itapigwa kesho jumamosi








'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();