SIMBA 2 Stand united 1 - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

May 12, 2017

SIMBA 2 Stand united 1

mnamo sekunde ya 18 mchezaji wa stand salehe selembe anavunja rekodi kwa kufunga goal la mapema zaidi, lakini dakika ya 23 simba wanasawazisha kwa cross murua kabisa toka kwa kichuya inayomkuta Luzio nae anaitia kimiani na kufanya matokeo 1-1. dakika ya 35 ya mchezo wachezaji wa stand wanamuacha luzio anachechemea hadi mlangoni kwa stand wanazani ni offside lakini LUZIO anaimimina ndani ya nyavu za sta
nd muamuzi anasita kupuliza kipenga anamuangalia mumuzi msaidizi anamuona kibendela kipo chini, refa anaamuru mpira uwekwe kati na simba wanaongoza kwa 2_1
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();