Kwa mujibu wa shirika la kufanya tafiti za wakimbizi, shirika hilo lenye makao yake nchini NORWAY linajulikana kama NRC, limeripoti kuwa watu laki tisa na ishirini elfu walikimbia kutoka Congo kwa mwaka 2016, ikiwa ni ongezeko kubwa ikilinganishwa na takwimu za hapo awali ambapo watu laki nane na ishirini elfu walikimbia congo. Congo imewazidi siryia na iraq kwa kutoa idadi kubwa ya wakimbizi. Chanzo kikuu ni mzozo ndani ya DRC pamoja na ukame