MJUKUU WA MSUKULE PART(16) - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

May 27, 2017

MJUKUU WA MSUKULE PART(16)


Sehemu  iliyopita iliishia pale nyoka alipoonekana akiwa ndani ya bakuri la mboga
, sasa twende nayo mdo mdo..............




Yule mwanmke akaambiwa ampige yule nyoka hadi afe, akaanza kumpiga yule nyoka hadi akafa.Mkuu wa mila akamuambia alale chini ili apate adhabu ya viboka, yule mwanamke akalala chini ili achapwe. Wakaja vijana walioshiba kisawasawa wakaanza kumpiga viboko, lakini kila walipokuwa wakimpiga wala hata haliii, wakamsachi na kumkuta akiwa na hirizi kubwa iliyofungwa kwenye kikwapa.
Wakaitoa wakaanza tena kumuadhibu, lakini akawa bado halii. Mmoja wa wazee wa mila akachukua fimbo kisha akachapa kivuli cha yule mwanamke ile fimbo ikamuingia akastuka. Wale walinzi wa usalama wakaanza kuchapa kivuli cha yule mwanamke.
Mwanamke akaanza kulia.
                   `oooooooohhhhhhh...aaaaaaa....ayiiiiiii...mamaaaaaa!!!!!...,hapo mmeniwezaaaaa!!`.

                   `mnaniumizaaaaaaaaaa......nihurumieniiiiiiiii!!!1`

Baada ya kumaliza kumuadhibu yule mwanamke, mkuu wa mila akaamuru mazishi yaanze ili waende na muda. Muda wa kwenda kuzika ukafika watu wakiwa wamejaaa kulizunguka kaburi, huku watani wajadi wakawa wanarusha maneno ya utani.

        Mtani akasema` huyu dogo alikua anapenda sana bata,ngoja akakutane na funza huko chini`
 Watu wakawa wanacheka kwa jinsi yule mtani alivyokuwa anatania pale kwenye kaburi,
Mara mtaalamu wa jadi akasema ana wasiwasi na kile wanachokizika, akasema yeye macho yake yanamuonyesha kua kile wanachozika hapo ni gogo sio mwili wa mtu. Watu waka....................(je kitatokea nini?????usipitwe part17)
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();