NEYMAR JR APIGA HAT TRICK DHIDI YA LAS PALMAS - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

May 14, 2017

NEYMAR JR APIGA HAT TRICK DHIDI YA LAS PALMAS

Timu bora duniani ya FC barcelona wameitia adabu LAS PAMAS kwa kuichabanga mabao 4 kwa moja, mikwaju ya Barca ikitiwa nyavuni na NEYMA (dak25,67,71). neymar amepiga hat trick hiyo akiwa katika ubora wa reli ya standard geji, B
ao jingine likatiwa nyavuni na MR.kuuma watu L suarez (dak27). Goli la kufutia jasho la LAS PAMAS likajazwa na {P  Bigas}
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();